Font Size
Mathayo 28:9-10
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 28:9-10
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
9 ghafla Yesu alisimama mbele yao. Akasema, “Salamu!” Wanawake wakamwendea wakamshika miguu na wakamwabudu. 10 Kisha Yesu akawaambia, “Msiogope. Nendeni mkawaambie wafuasi wangu[a] waende Galilaya, wataniona huko.”
Read full chapterFootnotes
- 28:10 wafuasi wangu Kwa maana ya kawaida, “ndugu zangu”.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Copyright © 2017 by Bible League International